Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:8-12

Zaburi 103:8-12 BHN

Mwenyezi-Mungu ni mwenye rehema na huruma; ni mvumilivu na mwingi wa fadhili. Hatukemeikemei daima, wala hasira yake haidumu milele. Yeye hatuadhibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu. Kama vile anga lilivyo juu mbali na dunia, ndivyo ulivyo mwingi wema wake kwa watu wanaomcha. Kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, ndivyo azitengavyo dhambi zetu mbali nasi.

Soma Zaburi 103

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 103:8-12