Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 24:1-2

Methali 24:1-2 BHN

Usiwaonee wivu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao.

Soma Methali 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 24:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha