Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 12:5-6

Hesabu 12:5-6 BHN

Hapo Mwenyezi-Mungu akashuka katika nguzo ya wingu, akasimama kwenye mlango wa hema, akawaita Aroni na Miriamu. Wote wawili wakasogea mbele. Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia, “Sikilizeni maneno yangu: Kama kuna nabii miongoni mwenu, mimi Mwenyezi-Mungu hujifahamisha kwake katika maono na kuongea naye katika ndoto.

Soma Hesabu 12

Video for Hesabu 12:5-6