Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 8:30-33

Marko 8:30-33 BHN

Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake. Yesu alianza kuwafundisha wanafunzi wake kwamba ni lazima Mwana wa Mtu apatwe na mateso mengi na kukataliwa na wazee na makuhani wakuu na waalimu wa sheria. Kwamba atauawa, na baada ya siku tatu atafufuka. Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Hapo, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea. Lakini Yesu akageuka, akawatazama wanafunzi wake, akamkemea Petro akisema, “Ondoka mbele yangu Shetani! Mawazo yako si ya kimungu ila ni ya kibinadamu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 8:30-33