Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:18-19

Marko 4:18-19 BHN

Watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka penye miti ya miiba. Huo ni mfano wa wale wanaosikia hilo neno, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu, anasa za mali na tamaa za kila namna huwaingia na kulisonga hilo neno, nao hawazai matunda.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:18-19