Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 23:37

Mathayo 23:37 BHN

“Yerusalemu! Ee Yerusalemu! Unawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako. Mara ngapi nimejaribu kuwakusanya watoto wako kwangu, kama vile kuku anavyokusanya vifaranga vyake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 23:37