Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 20:1-2

Mathayo 20:1-2 BHN

“Ufalme wa mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba la mizabibu, ambaye alitoka asubuhi na mapema kuwaajiri wafanyakazi katika shamba lake. Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 20:1-2