Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 13:20-21

Mathayo 13:20-21 BHN

Ile mbegu iliyopandwa penye mawe ni mfano wa mtu asikiaye neno hilo na mara akalipokea kwa furaha. Lakini halishiki na mizizi ndani yake; huendelea kulizingatia neno hilo kwa kitambo tu, na wakati taabu au udhalimu vinapotokea kwa sababu ya neno hilo, anakata tamaa mara.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 13:20-21