Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 11:25-27

Mathayo 11:25-27 BHN

Wakati huo Yesu alisema, “Nakushukuru ee Baba, Bwana wa mbingu na dunia, maana umewaficha wenye hekima na wenye elimu mambo haya, ukawafunulia wadogo. Naam, Baba, ndivyo ilivyokupendeza. “Baba yangu amenikabidhi vitu vyote. Hakuna amjuaye Mwana ila Baba, wala amjuaye Baba ila Mwana, na yeyote yule ambaye Mwana anapenda kumfunulia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 11:25-27