Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 18:31-33

Luka 18:31-33 BHN

Yesu aliwachukua kando wale kumi na wawili, akawaambia, “Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii kuhusu Mwana wa Mtu kitakamilishwa. Kwa maana atakabidhiwa kwa watu wa mataifa nao watamtendea vibaya na kumtemea mate. Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 18:31-33