Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 5:7-9

Yohane 5:7-9 BHN

Naye akajibu, “Bwana, mimi sina mtu wa kunipeleka majini wakati yanapotibuliwa. Kila nikijaribu kuingia, mtu mwingine hunitangulia.” Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.” Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 5:7-9