Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 4:13-15

Yakobo 4:13-15 BHN

Basi, sasa sikilizeni nyinyi mnaosema: “Leo au kesho tutakwenda katika mji fulani na kukaa huko mwaka mzima tukifanya biashara na kupata faida.” Nyinyi hamjui hata maisha yenu yatakavyokuwa kesho! Nyinyi ni kama ukungu unaotokea kwa muda mfupi tu na kutoweka tena. Mngalipaswa kusema: “Bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 4:13-15