Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 13:14

Hosea 13:14 BHN

Yanibidi kuwakomboa hawa watu kutoka kuzimu; sharti niwaokoe kutoka kifoni! Ewe Kifo, yako wapi maafa yako? Ewe Kuzimu, yako wapi maangamizi yako? Mimi sitawaonea tena huruma!

Soma Hosea 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 13:14