Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 1:1-2

Waebrania 1:1-2 BHN

Hapo zamani, Mungu alisema na babu zetu mara nyingi kwa namna nyingi kwa njia ya manabii, lakini siku hizi za mwisho, amesema nasi kwa njia ya Mwanae. Yeye ndiye ambaye kwa njia yake Mungu aliumba ulimwengu, akamteua avimiliki vitu vyote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 1:1-2