Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 9:12-13

Mwanzo 9:12-13 BHN

Tena Mungu akasema, “Hii ndiyo alama ya agano ninalofanya kati yangu nanyi na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi kwa vizazi vyote vijavyo. Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.

Soma Mwanzo 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 9:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha