Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 24:14

Mwanzo 24:14 BHN

Basi, msichana nitakayemwambia atue mtungi wake wa maji anipatie maji ninywe, naye akanipa mimi pamoja na kuwanywesha ngamia wangu, na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako Isaka. Jambo hilo litanionesha kwamba umemfadhili bwana wangu.”

Soma Mwanzo 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 24:14