Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezra 10:1

Ezra 10:1 BHN

Wakati Ezra alipokuwa anaomba na kuungama huku analia na kujiangusha kifudifudi mbele ya nyumba ya Mungu, umati mkubwa wa watu wa Israeli, wanaume, wanawake na watoto, walikusanyika karibu naye wakilia kwa uchungu mwingi.

Soma Ezra 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezra 10:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha