Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 37:1-2

Ezekieli 37:1-2 BHN

Mimi Ezekieli nilikumbwa na uzito wa nguvu ya Mwenyezi-Mungu, naye akaninyanyua kwa roho yake na kuniweka katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Basi, akanitembeza kila mahali bondeni humo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde lile, nayo ilikuwa mikavu kabisa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 37:1-2