Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 36:24-27

Ezekieli 36:24-27 BHN

Nitawaondoa nyinyi katika kila taifa na kuwakusanya kutoka nchi zote za kigeni; nitawarudisha katika nchi yenu wenyewe. Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtatakata uchafu wenu wote na sanamu za miungu yenu yote. Nitawapeni moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu. Nitauondoa kwenu moyo mgumu kama jiwe na kuwapa moyo wa utii. Nitatia roho yangu ndani yenu; nitawafanya mfuate kanuni zangu na kuzingatia maazimio yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 36:24-27