Mose aliwaambia Waisraeli; “Tazameni! Mwenyezi-Mungu amemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda. Amemjaza roho yake, amempa ujuzi, akili, maarifa na ufundi, abuni michoro ya sanaa na kufanya kazi za kufua dhahabu, fedha na shaba; achonge mawe ya kupambia na mbao kwa ajili ya kazi nyingine zote za kifundi.
Soma Kutoka 35
Shirikisha
Linganisha Matoleo Yote: Kutoka 35:30-33
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video