Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 16:3-4

Kutoka 16:3-4 BHN

“Laiti Mwenyezi-Mungu angelituua tulipokuwa nchini Misri ambako tulikaa, tukala nyama na mikate hata tukashiba. Lakini nyinyi mmetuleta huku jangwani kuiua jumuiya hii yote kwa njaa!” Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Mimi nitawanyeshea mikate kutoka mbinguni. Kila siku watu watatoka na kukusanya chakula cha siku hiyo. Kwa njia hii nitawajaribu nione kama watazifuata sheria zangu au hawatazifuata.

Soma Kutoka 16

Video for Kutoka 16:3-4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 16:3-4