Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 14:31

Kutoka 14:31 BHN

Waisraeli walipoona tendo hilo la ajabu alilofanya Mwenyezi-Mungu dhidi ya Wamisri, wakamcha, wakawa na imani na Mwenyezi-Mungu na Mose mtumishi wake.

Soma Kutoka 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 14:31

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha