Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 14:13

Kutoka 14:13 BHN

Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.

Soma Kutoka 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 14:13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha