Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:15-16

Waefeso 4:15-16 BHN

Kama tukiuzingatia ukweli kwa moyo wa mapendo tutakua katika kila jambo kulingana na Kristo ambaye ndiye kichwa; chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. Basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:15-16