Kumbukumbu la Sheria 33:9
Kumbukumbu la Sheria 33:9 BHN
Ulishindana nao kwenye maji ya Meriba. Walawi walioamua kuwaacha wazee wao, wakawasahau jamaa zao, wasiwatambue hata watoto wao maana walizingatia amri zako, na kushika agano lako.