Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 31:23

Kumbukumbu la Sheria 31:23 BHN

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwagiza Yoshua, mwana wa Nuni, akamwambia, “Uwe imara na hodari, maana utawaongoza Waisraeli katika nchi ambayo nimewaapia kuwapa, nami nitakuwa pamoja nawe.”