Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 10:17

Kumbukumbu la Sheria 10:17 BHN

Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana. Yeye ni Mungu mkuu na mwenye nguvu, na wa kuogofya; hapendelei wala hapokei rushwa.