Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 1:30-31

Kumbukumbu la Sheria 1:30-31 BHN

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambaye huwatangulia, yeye mwenyewe atapigana kwa ajili yenu kama alivyofanya mbele yenu kule Misri na kule jangwani ambako mliona jinsi alivyowabeba safari hiyo yote kama vile baba amchukuavyo mwanawe mpaka mkafika hapa.

Video for Kumbukumbu la Sheria 1:30-31