Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 4:2-4

Wakolosai 4:2-4 BHN

Dumuni katika sala, na mnaposali muwe waangalifu, mkimshukuru Mungu. Vilevile, mtuombee sisi pia ili Mungu atupe fursa ya kuuhubiri ujumbe wake kuhusu siri ya Kristo. Kwa ajili hiyo mimi niko sasa kifungoni. Basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 4:2-4