Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 9:13-14

Amosi 9:13-14 BHN

“Wakati waja kwa hakika, ambapo mara baada ya kulima mavuno yatakuwa tayari kuvunwa; mara baada ya kupanda mizabibu utafuata wakati wa kuvuna zabibu. Milima itabubujika divai mpya, navyo vilima vitatiririka divai. Nitarekebisha hali ya watu wangu Waisraeli. Watajenga miji yao iliyoharibiwa na kuishi humo; watapanda mizabibu na kunywa divai yake; watalima mashamba na kula mazao yake.

Soma Amosi 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Amosi 9:13-14