Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Amosi 4:13

Amosi 4:13 BHN

Mungu ndiye aliyeifanya milima, na kuumba upepo; ndiye amjulishaye mwanadamu mawazo yake; ndiye ageuzaye mchana kuwa usiku, na kukanyaga vilele vya dunia. Mwenyezi-Mungu wa Majeshi ndilo jina lake!

Soma Amosi 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Amosi 4:13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha