Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Petro 3:13-15

2 Petro 3:13-15 BHN

Lakini sisi, kufuatana na ahadi yake, twangojea mbingu mpya na dunia mpya ambayo imejaa uadilifu. Kwa hiyo wapenzi wangu, mkiwa mnaingojea siku ile, fanyeni bidii kuwa safi kabisa bila hatia mbele ya Mungu, na kuwa na amani naye. Mnapaswa kuuona uvumilivu wa Bwana kuwa ni nafasi anayowapeni mpate kuokolewa, kama Paulo ndugu yetu mpenzi alivyowaandikia akitumia hekima aliyopewa na Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Petro 3:13-15