Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 2:12

2 Wafalme 2:12 BHN

Elisha alipoona tukio hilo akalia, “Baba yangu, baba yangu! Gari la Israeli na wapandafarasi wake!” Basi, Elisha hakumwona tena Elia. Ndipo Elisha alipoyashika mavazi yake na kuyararua vipande viwili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 2:12