Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 6:9-10

2 Wakorintho 6:9-10 BHN

kama wasiojulikana, kumbe twajulikana kwa wote; kama waliokufa, lakini mwonavyo, sisi ni hai kabisa. Ingawa tumeadhibiwa, hatukuuawa; ingawa tunayo huzuni, twafurahi daima; ingawa tu maskini, twatajirisha watu wengi; twaonekana kuwa watu tusio na chochote, kumbe tuna kila kitu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 6:9-10