Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 6:7-8

2 Wakorintho 6:7-8 BHN

kwa ujumbe wa kweli na kwa nguvu ya Mungu. Uadilifu ndiyo silaha yetu kila upande. Tuko tayari kupata heshima na kudharauliwa, kulaumiwa na kusifiwa. Twadhaniwa kuwa waongo, kumbe twasema kweli

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 6:7-8