Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 28:7-8

1 Samueli 28:7-8 BHN

Ndipo Shauli akawaambia watumishi wake, “Nitafutieni mwanamke ambaye anaweza kutabiri ili nimwendee na kumtaka shauri.” Watumishi wake wakamjibu, “Yuko mtabiri mmoja huko Endori.” Basi, Shauli akajigeuza na kuvaa mavazi mengine, akaenda huko pamoja na watu wake wawili. Walifika kwa huyo mwanamke usiku, akamwambia, “Nitabirie kwa pepo, umlete duniani yeyote nitakayekutajia.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samueli 28:7-8