Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 8:23

1 Wafalme 8:23 BHN

akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu mwingine kama wewe, juu mbinguni, ama chini duniani! Wewe u mwaminifu, kwani umetimiza agano lako na kuwaonesha fadhili zako watumishi wako wanaoishi wakikutii kwa moyo wao wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 8:23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha