Mwanzo 18:23-24
Mwanzo 18:23-24 ONMM
Ibrahimu akamsogelea, akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Je, ikiwa watakuwepo watu hamsini wenye haki katika mji huo, kweli utauangamiza na wala hutauacha kwa ajili ya hao watu hamsini wenye haki waliomo?