Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:19-20

Yohana 6:19-20 NMM

Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne, walimwona Isa akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. Lakini Isa akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.”

Soma Yohana 6