Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 9:3-4

Ufunuo 9:3-4 BHND

Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaingia duniani, wakapewa nguvu kama ya nge. Wakaamrishwa wasiharibu nyasi za nchi wala majani wala miti yoyote, bali wawaharibu wale tu ambao hawakupigwa mhuri wa Mungu katika paji la uso.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 9:3-4