Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 9:20-21

Ufunuo 9:20-21 BHND

Wanadamu wengine waliobaki ambao hawakuuawa na mabaa hayo, hawakutubu na kuviacha vitu walivyokuwa wametengeneza kwa mikono yao wenyewe; wala kuacha kuabudu pepo, sanamu za dhahabu, fedha, shaba, mawe na miti, vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia wala kutembea. Wala hawakutubu na kuacha kufanya mauaji, uchawi, uzinzi, na wizi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 9:20-21