Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 5:9

Ufunuo 5:9 BHND

Basi, wakaimba wimbo huu mpya: “Wewe wastahili kukitwaa hicho kitabu na kuivunja mihuri yake. Kwa sababu wewe umechinjwa, na kwa damu yako umemnunulia Mungu wetu watu kutoka kila kabila, lugha, jamaa na taifa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 5:9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha