Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 4:1

Ufunuo 4:1 BHND

Baada ya hayo nilitazama nikaona mlango umefunguliwa mbinguni. Na ile sauti niliyoisikia pale awali ambayo ilikuwa kama sauti ya tarumbeta, ikasema, “Njoo hapa juu, nami nitakuonesha mambo yatakayotukia baadaye.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 4:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha