Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 3:15-16

Ufunuo 3:15-16 BHND

Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa kimojawapo: Baridi au moto. Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 3:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha