Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 1:7

Ufunuo 1:7 BHND

Tazama! Anakuja na mawingu! Kila mtu atamwona, na hata wale waliomtoboa. Makabila yote duniani yataomboleza juu yake. Naam! Amina.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 1:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha