Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 8:10

Waebrania 8:10 BHND

Hili ndilo agano nitakalofanya na watu wa Israeli siku zijazo, asema Bwana: Nitaweka sheria zangu akilini mwao, na kuziandika mioyoni mwao. Mimi nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 8:10