Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 26:16

Matendo 26:16 BHND

Haidhuru, inuka sasa; simama wima. Nimekutokea ili nikuweke rasmi kuwa mtumishi wangu. Utawathibitishia watu wengine mambo uliyoyaona leo na yale ambayo bado nitakuonesha.

Video for Matendo 26:16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 26:16