Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Mose 3:24

1 Mose 3:24 SRB37

Ndiyo sababu, aliyomfukuzia Adamu, nao upande wa maawioni kwa jua wa shamba la Edeni akaweka Makerubi wenye panga zimulikazo moto pande zote, wailinde njia iendayo kwenye mti wa uzima.

Soma 1 Mose 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Mose 3:24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha