Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Mose 26:4-5

1 Mose 26:4-5 SRB37

Nitawafanya wao wa uzao wako kuwa wengi kama nyota za mbinguni, nazo nchi hizi zote nitawapa wao wa uzao wako, namo katika uazo wako ndimo, mataifa yote ya nchini yatakamobarikiwa, kwa kuwa Aburahamu aliisikia sauti yangu, akayaangalia maneno yangu yapasayo kuangaliwa: maagizo yangu na maongozi yangu na maonyo yangu.

Soma 1 Mose 26