Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Mose 1:9-10

1 Mose 1:9-10 SRB37

Mungu akasema: Maji yaliyoko chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, pakavu paonekane! Yakawa hivyo. Mungu akapaita pakavu nchi, nalo kusanyiko la maji akaliita bahari. Mungu akayaona kuwa mema.

Soma 1 Mose 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Mose 1:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha